Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amewakaribisha warejea kutoka Rwanda akisisitiza kwamba Burundi kama nchi ni ya Waburundi wote popote walipo....
Ripoti za Kiswahili
Kundi la kwanza la wakimbizi wa Burundi ambao waliishi nchini Rwanda wameanza leo tarehe 27 Agosti 2020 kurudi nyumbani...